Uzingatizi Wa Viakifishi Katika Uandishi Wa Kitaaluma: Mifano Kutoka Shule Za Msingi Tanzania

232 pages ID: AFS0013

Full material

₦ 5,000 $(29)
Pages232
DeliveryInstant, after payment
Order & Download Now Ask a question on WhatsApp

Project Details

DepartmentAfrican Studies
TypeProject
Pages232
Reference StyleYES
FormatMS Word & PDF
Reference No.AFS0013

Abstract

SHUKURANI Awali ya yote, ninamshukuru Mungu wangu mwenyezi kwa kunipa nguvu na kuniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakika, Mungu ni mwema sana maishani mwangu. Pili, ninawashukuru wasimamizi na walimu wangu, Dkt. Rafiki Y. Sebonde na Prof. John G. Kiango, kwa mwongozo, jitihada na ushauri wao makini vilivyoniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakuna awezaye kuwalipa ila Mungu pekee. Tatu, ninamshukuru sana mwalimu wangu, Prof. Hermas J.M. Mwansoko, kwa kunijengea msingi imara katika stadi za utafiti wakati akinisimamia Shahada ya Umahiri na kunihimiza kujiunga na masomo ya Shahada ya Uzamivu m…

This is a preview.Unlock the full abstract, all chapters and references.
Unlock Full Material

Full material

₦ 5,000 $(29)
Pages232
DeliveryInstant, after payment
Order & Download Now Ask a question on WhatsApp
WhatsApp Us