African Studies Project Topics & Research Materials (PDF & DOC)

Browse over 16 African Studies Project topics and complete research materials for B.Sc, HND, ND, and postgraduate students. All topics are well-researched and suitable for Nigerian universities and polytechnics : ✔ Chapters 1–5 available ✔ PDF & Word format ✔ Updated for 2025 ✔ Instant download
Showing 1–16 of 16
3)

Tofauti Za Mtindo Katika Riwaya Ya Upelelezi Ya Kiswahili: Ulinganisho Wa Mohamed Said Abdulla Na Erick James Shigongo

SHUKRANI Kwanza kabisa ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye amenijalia uhai, afya ya roho na mwili na ufahamu wa kuniwezesha kufanya kazi hii. Kuna michango na miongozo ya watu mbalimbali walioniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Ninawashukuru wote walionisaidia mpaka kufikia hapa. Ningependa niwataje wote, lakini nitawataja… Continue Reading

ID: AFS0014 Pages: 127
7)

Taswira Katika Ngano Za Kiswahili Kutoka Wilaya Ya Kusini Unguja-zanzibar

SHUKRANI Shukrani za awali ziende kwa Mwenyezi Mungu, muumba wa viumbe vyote, kwa kunisaidia kwa uwezo wake mkubwa kunilinda na kunipa afya katika kipindi chote cha kufanya utafiti huu mpaka ukakamilika. Shukrani nyingine ni kwa msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt. Muhammed Seif Khatib kwa kuniongoza, kunishauri na kunipa changamoto mbalimbali za… Continue Reading

ID: AFS0010 Pages: 94
9)

Falsafa Ya Kiafrika Katika Vitabu Teulevyafasihi Ya Kiswahili: Dunia Uwanja Wa Fujo Na Ngoma Ya Ng’wanamalundi

SHUKURANI  Kwanza, namshukuru sana Mungu kwa ajili ya ukuu na uweza wake ambao nimeuona katika kipindi chote cha maisha yangu; hususani katika kipindi cha kuandika tasnifu hii, ambapo nimekutana na changamoto nyingi, lakini kwa upendo wa Mungu niliweza kusonga mbele. Pili, kwa namna ya pekee namshukuru sana msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla.… Continue Reading

ID: AFS0008 Pages: 107
11)

Huzuni Katika Nyimbo Za Taarab Za Waimbaji Bi Fatma Issa Na Shakila Said

SHUKURANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunijaalia uzima na afya njema katika kipindi chote cha kukamilisha utafiti huu. Pili, ninamshukuru msimamizi wa utafiti huu, Dkt Muhammed Seif Khatib ambaye alikuwa mwongozaji wa kazi hii na alifanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa utafiti huu unamalizika katika hali ya… Continue Reading

ID: AFS0006 Pages: 87
12)

Usemezano Katika Riwaya Ya Kiswahili

SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji… Continue Reading

ID: AFS0005 Pages: 253
14)

Matumizi Ya Falsafa Ya Usihiri Katika Riwaya Teule Za Euphrase Kezilahabi

SHUKURANI  Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa taasisi na watu mbalimbali waliotoa ushauri na michango yao ya hali na mali iliyowezesha kukamilisha kazi hii. Awali ya yote, napenda kutoa shukurani zangu za dhati kumshukuru Mwenyezi-Mungu (sw) kwa kunijaalia afya njema katika kipindi chote cha masomo yangu. Afya ambayo iliniwezesha… Continue Reading

ID: AFS0003 Pages: 178
15)

Chimbuko La Dhikiri: Mabadiliko Na Athari Zake Kwa Jamii Ya Wazanzibari

SHUKRANI Kazi hii imekamilika kutokana na michango ya watu mbalimbali walioshirikiana nami kuona inafanyika kama ilivyopangwa. Sina budi kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walionisaidia katika kufanikisha utafiti huu. Kwanza, kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai, uzima na afya njema hata nikaweza kufanikisha kazi hii bila… Continue Reading

ID: AFS0002 Pages: 93
16)

Indigenous Resistance To Slavery By The Builsa People Of Northern Ghana

There is enough historical evidence to show that the northern part of Ghana was affected by slavery in many ways. My thesis discusses slavery in Builsa territory located in the present day Upper East Region of Ghana. I pursued the studies using a number of strategies such as oral interviews, personal observation and participation and… Continue Reading

ID: AFS0001 Pages: 65
WhatsApp Us