Usemezano Katika Riwaya Ya Kiswahili

253 pages ID: AFS0005

Full material

₦ 5,000 $(29)
Pages253
DeliveryInstant, after payment
Order & Download Now Ask a question on WhatsApp

Project Details

DepartmentAfrican Studies
TypeProject
Pages253
Reference StyleYES
FormatMS Word & PDF
Reference No.AFS0005

Abstract

SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji ng‟ombe, walipata kusema wahenga. Kamwe siwezi kujidai kuwa yote nilofanya ili kazi hii itimie nimeyafanya kwa urazini ama ujanja wangu tu, ila ni kwa jamala na jitihada za watu mbalimbali walonipa misaada na ushirikiano wao azizi wakati wa mchakato…

This is a preview.Unlock the full abstract, all chapters and references.
Unlock Full Material

Full material

₦ 5,000 $(29)
Pages253
DeliveryInstant, after payment
Order & Download Now Ask a question on WhatsApp
WhatsApp Us