Tofauti Za Mtindo Katika Riwaya Ya Upelelezi Ya Kiswahili: Ulinganisho Wa Mohamed Said Abdulla Na Erick James Shigongo

127 pages ID: AFS0014

Full material

₦ 5,000 $(29)
Pages127
DeliveryInstant, after payment
Order & Download Now Ask a question on WhatsApp

Project Details

DepartmentAfrican Studies
TypeProject
Pages127
Reference StyleYES
FormatMS Word & PDF
Reference No.AFS0014

Abstract

SHUKRANI Kwanza kabisa ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye amenijalia uhai, afya ya roho na mwili na ufahamu wa kuniwezesha kufanya kazi hii. Kuna michango na miongozo ya watu mbalimbali walioniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Ninawashukuru wote walionisaidia mpaka kufikia hapa. Ningependa niwataje wote, lakini nitawataja baadhi tu ambao michango na miongozo yao imejitokeza zaidi. Dokta Elias M. Songoyi anastahili kupewa kipaumbele miongoni mwa watu walioniwezesha kufanya kazi hii. Huyu ndiye msimamizi wa utafiti wangu. Licha ya kukabiliwa na majukumu mazito ya kiofisi n…

This is a preview.Unlock the full abstract, all chapters and references.
Unlock Full Material

Full material

₦ 5,000 $(29)
Pages127
DeliveryInstant, after payment
Order & Download Now Ask a question on WhatsApp
WhatsApp Us