15,076)
This study assessed the Secondary School Students Enrolment of Islamic Studies in SSC Examination 2012-2016 in Abeokuta. Simple Random Sampling Techniques was employed to select 100 Students as Sample. Questionnaire was administered to collect Data. Three hypotheses was formulated and tested using Analysis of… Continue Reading
15,077)
TABLE OF CONTENT Cover page Title page… Continue Reading
15,078)
Islam is a religion and a way of life for the Muslims, it consist of worship of the creator and goodness to others to ensure a just society for all. Salat is a very important duty in Islam as it distinguishes Muslims from others. It is an institution of the Muslim congregation in a locality with the Imam as the head and Mosque as his… Continue Reading
15,079)
This study analyzed the poetic collection of Mohammed Amin Bamba in order to highlight the quality of his works and to shed some light on his contribution on Arabic studies in Ghana. The research was based on protracted face-to-face interviews the writer conducted with the poet over a series of meetings. It equally benefited from rich… Continue Reading
15,080)
The primary purpose of this study is to share information about a remarkable period of history, between the ninth and thirteenth century, often referred to as the Golden Age of Islam. We will examine some of the leading but by no means all the philosophers and scientists of the Golden Age. The figures we will discuss all admired wisdom… Continue Reading
15,081)
This Thesis entitled ―Philosophy in the Novels written by Shaaban Robert and Euphrase Kezilahabi in the Context of Bantu Epistemology‖ investigates the existence of Bantu Epistemolgy in the novels of the aforementioned literary writers basing on the following components: witchcraft, rituals, belief on soul and death, the heart, God,… Continue Reading
15,082)
SHUKRANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia nguvu, uzima, afya njema na kuniwezesha kuifikisha kazi hii katika hatua hii. Pili, shukrani zangu za pekee zimwendee msimamizi wangu, Dkt. Muhammed Seif Khatib, ambaye amekuwa nami bega kwa bega katika kunishauri, kunikosoa, kutoa mwongozo na mapendekezo ili kuhakikisha kazi… Continue Reading
15,083)
SHUKRANI Kwanza kabisa ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye amenijalia uhai, afya ya roho na mwili na ufahamu wa kuniwezesha kufanya kazi hii. Kuna michango na miongozo ya watu mbalimbali walioniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Ninawashukuru wote walionisaidia mpaka kufikia hapa. Ningependa niwataje wote, lakini nitawataja… Continue Reading
15,084)
SHUKURANI Awali ya yote, ninamshukuru Mungu wangu mwenyezi kwa kunipa nguvu na kuniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakika, Mungu ni mwema sana maishani mwangu. Pili, ninawashukuru wasimamizi na walimu wangu, Dkt. Rafiki Y. Sebonde na Prof. John G. Kiango, kwa mwongozo, jitihada na ushauri wao makini vilivyoniwezesha kukamilisha tasnifu hii.… Continue Reading
15,085)
SHUKRANI Kwanza kabisa shukurani za dhati anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ameniwezesha kufanya kazi hii kwa afya njema na nguvu nyingi. Pili, namshukuru kwa dhati mwalimu na msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt Elias Manandi Songoyi aliyekubali au aliyejitolea kuwa mlezi na msimamizi wa kazi hii akielewa shida mbalimbali za mwanafunzi/mtoto… Continue Reading
15,086)
SHUKRANI Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili.… Continue Reading
15,087)
SHUKRANI Shukrani za awali ziende kwa Mwenyezi Mungu, muumba wa viumbe vyote, kwa kunisaidia kwa uwezo wake mkubwa kunilinda na kunipa afya katika kipindi chote cha kufanya utafiti huu mpaka ukakamilika. Shukrani nyingine ni kwa msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt. Muhammed Seif Khatib kwa kuniongoza, kunishauri na kunipa changamoto mbalimbali za… Continue Reading
15,088)
Schools in Khami District have not been spared from the influence of loan words in the teaching of the Ndebele language. The researcher focused on the impact of loan words in the teaching of Ndebele language in the selected Khami District Schools of Bulawayo Province .The Schools were Dumezweni Primary School, Godlwayo Primary School and… Continue Reading
15,089)
SHUKURANI Kwanza, namshukuru sana Mungu kwa ajili ya ukuu na uweza wake ambao nimeuona katika kipindi chote cha maisha yangu; hususani katika kipindi cha kuandika tasnifu hii, ambapo nimekutana na changamoto nyingi, lakini kwa upendo wa Mungu niliweza kusonga mbele. Pili, kwa namna ya pekee namshukuru sana msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla.… Continue Reading
15,090)
SHUKURANI Kwanza ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima wa afya katika kipindi chote cha masomo yangu hadi kuikamilisha tasinifu hii katika muda uliopangwa. Pia ninawashukuru wale wote walioshirikiana na mimi mwanzo hadi mwisho wa tasinifu hii. Kwa uchache ninapenda kuwapa shukurani zangu za dhati kwa kuwataja hawa wafuatao; Kwanza,… Continue Reading
15,091)
SHUKURANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunijaalia uzima na afya njema katika kipindi chote cha kukamilisha utafiti huu. Pili, ninamshukuru msimamizi wa utafiti huu, Dkt Muhammed Seif Khatib ambaye alikuwa mwongozaji wa kazi hii na alifanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa utafiti huu unamalizika katika hali ya… Continue Reading
15,092)
SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji… Continue Reading
15,093)
SHUKURANI Shukurani zangu ninawapa wafuatao nikiwataja kwa makundi: Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kunijaalia afya njema, maarifa, busara na hekima ambavyo nilivitumia kama nyenzo kubwa tangu kuanza hadi kumalizika kwa utafiti huu. Pili, kwa mama na baba yangu, kwa malezi yao bora waliyonipatia. Pia mume wangu, Bw. Salum Mohamed Gumukah, na… Continue Reading
15,094)
SHUKURANI Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa taasisi na watu mbalimbali waliotoa ushauri na michango yao ya hali na mali iliyowezesha kukamilisha kazi hii. Awali ya yote, napenda kutoa shukurani zangu za dhati kumshukuru Mwenyezi-Mungu (sw) kwa kunijaalia afya njema katika kipindi chote cha masomo yangu. Afya ambayo iliniwezesha… Continue Reading
15,095)
SHUKRANI Kazi hii imekamilika kutokana na michango ya watu mbalimbali walioshirikiana nami kuona inafanyika kama ilivyopangwa. Sina budi kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walionisaidia katika kufanikisha utafiti huu. Kwanza, kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai, uzima na afya njema hata nikaweza kufanikisha kazi hii bila… Continue Reading
15,096)
There is enough historical evidence to show that the northern part of Ghana was affected by slavery in many ways. My thesis discusses slavery in Builsa territory located in the present day Upper East Region of Ghana. I pursued the studies using a number of strategies such as oral interviews, personal observation and participation and… Continue Reading
15,097)
Due to scarcity of potable water, rainwater harvesting from rooftop has been favoured as an alternative source of water supply by most rural communities in Nigeria. This study investigated the physicochemical characteristics of rainwater harvested from four different rooftop sheets in Ikole-Ekiti, Ekiti State. Samples were collected… Continue Reading
15,098)
The aim of the present study is to know the effect of wastewater (sewage) discharge on the quality water in Ikole-Ekiti, Ekiti State Nigeria. The community discharges wastewater which affect the water quality with most of the wastewater coming from domestic wastewater. Associated with the development of the area, the increase of… Continue Reading
15,099)
ABSTRACT In the bid to ensure adequate water supply, packaged water has been introduced to provide safe and affordable drinking water. In spite of the varying levels of contamination, sachet water is still well accepted. This study therefore employed both quantitative and qualitative research designs to draw out survey and semi - structured… Continue Reading
15,100)
ABSTRACT The study investigated the disposal of medical wastes in health institutions in Ekiti State, Nigeria. It involves visitation, survey work which entails administration of questionnaire and library study to gather information which includes type of waste, volume of waste generated and the disposal system adopted by the health institution.… Continue Reading